Wednesday, November 6, 2013

HUU NI UJUMBE WA JUMATANO YA LEO...tABASAMU/KICHEKO

 
Utamu wa maisha hutegemea hali ya nchi. Lakini Uzuri na kichekesho sio bima ya kufaulu katika maisha. Huu ni ujumbe wangu wa leo jumatano hii..Kila la kheri kwa wote mtakaopita hapa.

4 comments:

ray njau said...

tabasamu na kichekoooooooooooo!!

Yasinta Ngonyani said...

Na pia wanachema ukicheka unaongeza afya...Kaka Ray ahsante kwa kutochoka kupita hapa kibarzani..

Unknown said...

Nami nicheke hahahaaaaaaa

Yasinta Ngonyani said...

Jackson! Karibu. Kicheko chako ushaongeza afya yako:-)