Saturday, December 1, 2012

SIKU YA LEO NIMEKUMBUKA LUNDO MBAMBA BAY 2007

Hapa kutoka kushoto ni kaka yangu wa mwisho Philoteo, katikati ni mjomba wangu mwl. John Bosco Ngonyani anajulikana zaidi kwa jina la JB na mwisho ni mwenyewe Kapulya. Siku hii ilikuwa siku ya furaha sana katika maisha yangu kwani nilikuwa sijaonana na mjomba wangu mpendwa karibu mika ishirini ...Muwe na  WAKATI MZURI PIA JUMAMOSI NJEMA YA MWEZI HUU WA KUMI NA MBILI AMBAYO NI YA KWANZA  NA KESHO NDO TUNAANZA KUSUBIRI ULE UJIO /KUZALIWA WA/KWA BWANA YESU KRISTU.

6 comments:

batamwa said...

asante sana nawewepia uwe na wakati mzuri sana nikweli ilibidi ufurahi sana maana miaka ishirini hujaonana na unayempenda

Anonymous said...

Hapo dada wanifurahisha kuwa unakumbuka uh Mwana wa palonji ukiwa mwenye asili ya kutokea katikati ya ziwa nyasa na huyo kaka yako wala huulizi mmefanana tu kabisaaa kinakala halisi haya dada nawe wk end njema - Na Mbambu Mbawala

ray njau said...

Hii inapendeza kwelikweli.Wikiendi njema kwa ndugu,jamaa na marafiki na majirani.

Yasinta Ngonyani said...

Batamwa ...yaaniilikuwa raha ya pekee nilimrukia nusu aanguke...

Bambu Mbawala! usengwili sana cha ujovili.

kaka Ray nawe pia natumai umekuwa na wikiendi njema

Anony! thank you I will.

Mija Shija Sayi said...

Mmefanana balaa na kaka mdogo..

Yasinta Ngonyani said...

Mija! Ahsante ila yeye mrefu:-)