Sunday, December 9, 2012

JUMAPILI YA LEO NI JUMAPILI AMBAYO IMEANGUKIA SIKU AMBAYO TULIPATA UHURU 9/12/1961...


Nami nimea si wimbo huu wa maombi unafaa sana kwa siku ya leo. NACHUKUA NAFASI HII NA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA NA PIA SIKU HII KWA UJUMLA

7 comments:

Emmanuel Mhagama said...

Ni siku muhimu kukumbukwa katika historia ya taifa la Tanzania. Lakini bado tunalo swali la msingi la kujiuliza kama Watanzania. Baada ya miaka 51 ya UHURU, kama taifa huru, tuna kipi cha kujivunia?

Rachel Siwa said...

Asante MAMA ERIK nawe uwe na J'Pili nzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na familia pia.

Anonymous said...

hakuna nchi itwayo tanzania duniani ilipata uhuru au iliwahi kutawaliwa tanganyika ilipata ururu 10 jun1960 ni aibu ni ufisafi ni uhuni 9 1961???MUGU TUSAIDIYE TUWEZA KUPATA HISTOR YA TAIFA LETU LA TANGANYIKA AMIN

luddo17 said...

Binafsi, siku ya jana, niliiona kama ya maombolezo tu kwani Tanganyika haipo hai tena. Sasa tuna Tanzania ambayo 'iliiua' Tanganyika tarehe 26. 4. 1964

emuthree said...

Siku ya jana ilikuwa ni siku ya serikali kusherehekea siku ya kumbukumbu ya Uhuru. Wananchi tulikuwa majumbani, na wenye umeme, walikuwa wakiwaangalia serikali wakisherehekea, maana umeme ni shida siku hizi, hakuna mgawo, lakini umeme ni tatizo.
HONEGERANI SERIKALI KWA KUSHEREHEKEA
SIKU HIYO MUHIMU.

Salehe Msanda said...

Tuombe kheri,
Tuendelee kuwa na umoja na mshikamano na kuomba tubadilike kifikra ili kuleta mabadiliko katika mfumo wa maisha ya Watanzania hasa kuwatoa katika kutojiamini na kuamini ktika kuweza na kutoka katika hiyoo sumu tunayolishwa na kuwaaminisha watanzania kuwa sisi ni maskini wakati ukweli wa mambo sisi si masikini ili mfumo wetu wa kufikiri unatuaminisha kuwa sisi tu maskini. Kwa hali ya Mkoa wa Njombe na Ruvuma kwa wingi wa ardhi yenye rutuba umasikini unaimbwa kama ngojera.
Tuombe hiyo katiba mpya ije na mabadiliko kwa Wabongo
Jpili Njema

Yasinta Ngonyani said...

Nachukua nafasi hii na kuwashukuru wote..Na pia napenda kusema karibu sana ka kaka Luddo kwenye kibaraza hiki.