Friday, December 7, 2012

SALAMU/UJUMBE KUTOKA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO IJUMAA YA LEO NI:-

Kila CHOZI ni ishara ya MAUMIVU. Kila ukimya ni ishara ya UPWEKE, kila TABASAMU ni ishara ya FURAHA, lakini kila ujumbe ni ishara ya kum-mis/kumtamani mtu. NAWATAKIENI WOTE MTAOPITA HAPA  ASUBUHI ,MCHANA, JIONI AU NISEME TU IJUMAA NJEMA.....KAPULYA!!!!

11 comments:

Ester Ulaya said...

Asante sana nawe pia twakutakia heri kwa kila ufanyacho na weekend njema

Yasinta Ngonyani said...

Este Ahsante naamini nawe utakuwa na mwisho wa juma mzuri...PAMOJA DAIMA!!!

ray njau said...


CHOZI = MAUMIVU
UKIMYA = UPWEKE
TABASAMU = FURAHA
UJUMBE = KUTAMANI
@Yasii;
Ujumbe wako wa wikiendi kwa ufupi ndiyo huo na hakika kila mdau atautamani.
==============================
Kila kuendako hisani hakurudi nuksani bali shukrani.
=================================
Wikiendi ya salamu,shukrani,samahani na subira kwa wadau wote.

Gotard Miyonjo said...

Nimeipenda hiyo Mzazi coz
Nina TABASAMU= FURAHA

ray njau said...

@Miyonjo;
Unaweza kcheka kabla ya kutabasamu,jaribu tafadhali!!

Steven Bulamu said...

POWAAA UJUMBE NIMEUPENDA

Anonymous said...

Saa zingine chozi linaweza kuwa la furaha!

Yasinta Ngonyani said...

kaka Ray! Ahsante...

Gotard! kwanza karibu sana hapa maisha na mafanikio pili nafurahi kwa kuipenda hii...

Steven! Ahsante

Usiye na jina! ni kweli wengine wanatoa chozi wanapokuwa na furaha..

luddo17 said...

Ujumbe murua

Salehe Msanda said...

Asante!
Ili kuna wakati chozi huwa ishara ya furaha. Maana huwa inatokea kulia na kucheka kuwa na maana maana moja.
Kila la kheri.

Yasinta Ngonyani said...

kaka Luddo! kwanza nasema karibu sana katika kibaraza cha Maisha na mafaniki..pia ahsante..

Kaka Salehe! umesema kweli kabisa.