Habari hii imenigusa sana sana sanaaaaaaa na nimeona niiweke hapa Maisha na mafanikio ili tuweza kujadili pia kwa pamoja. Jamani hivi SHERIA zinatungwa ili iweje??? Baada ya kusoma habari hii nimekuwa ninajiuliza:- Hivi huu ni mwisho wa dunia? Au wanawake wamekwisha? Miaka 12 kuanza maisha ya ndoa halafu mke wa tatu kweli huu ni uungwana/utu kweli? Makala hii nimeipata hapa kwani naamini wote tuna nia ya kueleimisha jamii.
Haya hapa ni habari yenyewe tuwe pamoja.
Binti wa miaka 12 katikati Veronika Charlle wa darasa la tano, akiwa na mwenye kiti wa kijiji cha Sinai Talisis Mkanula na mhudumu wa afya msingi Christina Njovu.walijaribu kumsaidia mtoto huyo lakini kukawa na urasimu wa kushindwa kumchukulia hatua mtuhumiwa Bwana Vinsenti Haule kwa kesi ya ubakaji maana huyu mtoto ni sawa na mjukuu wake.
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Vinsenti Haule mkazi wa kijiji cha Sinai Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma ambaye ana wake wawili amemuoa mwanafunzi wa darasa la tano wa shule ya msingi Nakahuga Veronika Challe(12) kuwa mke wake wa tatu.Imeripotiwa na Albanos Midelo.