Tuesday, November 25, 2008

USAFIRI WA BAISKELI NI RAHISI ZAIDI

Karibuni wateja kukodisha baiskeli ni bei rahisi tu.

3 comments:

Anonymous said...

baiskeli ni usafiri mzuri hauhitaji mafuta ni ujuzi wako tu

Yasinta Ngonyani said...

Baiskeli, mimi ndio usafiri wangu kwani huhitaji kusubiri foleni ni kupita tu raha sana kutumia baiskeli.

Anonymous said...

naitwa erick ezekiel
napenda kuendesha baiskeli

kwa kweli baiskeli ni usafiri mzuri
na rahisi.

unatakiwa kuwa na afya njema
na kufuata sheria za usalama barabarani.
ni njia zuri ya kupunguza uchafuzi wa hewa.

lakini nataka kujua historia ya baiskeli kwa kifupi sana.

kama kuna mtu anafahamu
tafadhali nitumie kwenye imail
itserick@extcite.com