Monday, November 17, 2008

MISITU NA WANYAMA WAKE HAPA SWEDEN HAPA NI AINA YA KONGONI(moose)




Mnyama huyu hapa Sweden ndiye mfalme wa msitu.

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nimesha wahi kula nyama yake ni tamu. Huwa kila mwaka kuanzia mwezi wa tisa mpaka wa kumi mwishoni kunakuwa na mawindo ya mnyama huyo ila kwa wale wenye vibali tu.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mhh we unakulakula tu. angalia usijekula ya bi... (sory) i was dizzy.
kama huyu ndiye mfalme wa poli basi nina wasiwasi tukimleta Simba mmoja hata kitoto itakuwaje. kwanza mfalme wa pori haliwi na ndio maana simba haliwi na binadamu wala mnyama yeyote labda inzi!
ongera kumfahamu

Yasinta Ngonyani said...

asante Kamala ila kumbuka waswahili wanasema ukiwakuta watu wanatembea uchi basi nawe fanya hivyo

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

heheheheh, sio kila kitu kinafaa kuigwa. unamaana ukienda umasahini utakula nyama mbichi? au ukienda maeneo ya kusini mwa tz utakula mbwa au panya? shauri yako, mimi simo, najitoa

Yasinta Ngonyani said...

haya, kama wananishikia mkuki au wananifunga kamba basi nitakula lakini bila hivyo hapana hasa mbwa na panya. Kusini mwa TZ huko ni wapi yaani mji/kijiji gani naambie basi!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

wewe usinibane na maswali yako na hasa ikizingatiwa wewe ni mtu wa kusini. hujasikia wanaosema umbwa badala ya mbwa? au samaki nchanga?
bukoba utakula grasshopers a.k.a nsenene