Thursday, November 6, 2008

SAMAKI+MBOGA+CHAKULA



Na bila kituweo huwezi kula ugali. Haya ndugu zangu karibuni ugali na samaki wa kupaka.

9 comments:

Unknown said...

Umenikumbusha mbali sana samaki ugali au samaki wali acha kabisa.

Yasinta Ngonyani said...

sio wewe tu. Haya karibu sana na usiogope kuna wali pia ugali wa mahindi

Fita Lutonja said...

aise yaani unatufurahisha sana huyosamaki amenikumbushia kwa bibi yangu anaitwa Mwananikodemo anapenda sana kunipikia kitu kama hicho

Yasinta Ngonyani said...

basi una bahati kuwa na bibi kama huyo. Msalimie mwambie nitakuja kumtembelea kwani hicho ni chakula changu kikuu

Unknown said...

Kweli hapo huyo samaki umpate na ugali,usipime

Christian Bwaya said...

Kuna watu bila ugali tunajisikia kama hatujala bado. Ila mie siupendi ugali wa hotelini. Raha ya ugali upike mwenyewe bwana!

Simon Kitururu said...

@Yasita: Usitutie matamanioni!Sio tabia nzuri kututamanisha:_)

Yasinta Ngonyani said...

Basi wote nawakaribisheni sana Ruhuwiko mtakula mpaka mtasaza

Tuckerjackk said...

ArticleTed
ArticleTed
Uberant
Minds
Pixnet
TrendMiner
Blox