Wednesday, November 12, 2008

WENGI WANASEMA HIZI NI RANGI ZA WANARASTA




Je? ni kweli ni rangi za wanarasta kwani binafsi pia ni rangi zangu. Nisaidieni basi.Kazi kweli kweli.

3 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Dada Yasinta.
Nashukuru saaana kwa kuweka swali lako. Kusema hiyo ni Rangi ya ma-rasta wanakosea. Kuhusianishwa kwao na imani za Urasta ni kwa kuwa wao wanaamini kuwa Afrika ndio kwao na mababu zao waliteswa saana katika harakati za utumwa. Lakini ukweli wa Rangi hizo ni juu ya kuenzi jitihada za ukombozi wa Afrika. Na ufafanuzi wake ni kama ifuatavyo. GREEN is for the Land (Mama Africa), Yellow is for the Minerals they Looted, Red is for the blood they shed and Black is for the People.
That's all.
Blessings Dada

Yasinta Ngonyani said...

Aise asante sana kaka, pia tafsiri yake inafanana na rangi za bendera ya TZ kasoro nyekundu. kwani badala yake ipo ile ya blu ambayo tafsiri yake ni maji. kazi kweli kweli

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Ni kweli kabisa Blue ni maji ambayo leo hi ndio yanayoanza kuwazoa watuhumiwa wa EPA