Sunday, November 23, 2008

MDUNDUWALO/PERAMIHO 2005

2005 tukiwa Peramiho-Mdunduwalo. Hapo tulitaka kuruka na ungo. Huo hapo nyumba yetu ni ungo wa kupozea ugimbi (pombe)

5 comments:

Unknown said...

Huo ungo kiboko naisi mkitaka kuruka unaweza kupakia ndugu zako wote au ukoo mzima na bado nafasi ikabaki.
Mlitaka kuruka kwenda wapi????

John Mwaipopo said...

Ushanivurugia siku kwa kutaja 'ugimbi'. Ilikuwaga hivi enzi hizo nasoma Malangali. (Mwananke anapita na ndoo yake imejaa ugimbi)

MIMI: Ndisuka Ugimbi
M/MKE: Wuse utegule

Then you go to test the taste kutoka kwenye dumu dogo aliloshika mkononi.

Yasinta Ngonyani said...

Haya kaka Lazarus tulitaka kuruka kutoka Peramiho kwenda Sweden. Lakini ilishindikana tukaishia Njombe.

Na kaka John Mwaipopo kwanza karibu sana. Unogage! hiyo dumu nduogo inaitwa robo au nusu nadhani. karibu sana tena na tena

MARKUS MPANGALA said...

semeni tu semeni tu mpaka mchoke, ungo tunatumia sana kuwanga na kushughulika kihenula sana tu maana mwanamke akikukataa unasaka ungo mida ya usiku mkali unamwingilia kwa raha zako eeeeeee. mambo hayo lakini kuruka kwa ungo mbona bomba tu mnaonaje

little boys spanking stories said...

``Bye. She liked being popular and wasnt about torock the boat for a fat guy who had an obscene loveaffair with food ever since he was a kid.
adult incest free stories
adult erotic pictures and stories
uk bondage stories
teen boy sex stories
gay cafe stories
``Bye. She liked being popular and wasnt about torock the boat for a fat guy who had an obscene loveaffair with food ever since he was a kid.