Tuesday, November 29, 2016

JUMANNE HII YA MWISHO WA MWEZI HUU TUBAKI TU KIDOGO HAPA NYASA-MBAMBA BAY-LIULI

 MWONEKANO WA ZIWA NYASA
 WAVUVI KATIKA ZIWA NYSA
NA HAPA NI POMONNDA ROCK  KATIKA KIJIJI CHA LIULI HAPA HAPA NYASA. 

2 comments:

Anonymous said...

Shikamoo dada Yasinta! Vipi kazi tuu imefika huko? Hilo jiwe linafanana na la Mwanza (Rock City). By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Eeeeh kaka Salumu za masiku. ..ndi hivyo hilo liko Liuli...