Thursday, November 10, 2016

MICHEZO:NETIBOLI NI MCHEZO NILIOKUWA NIKIUPENDA SANA

Ukitaka mpira ni lazima uutafuta mie nafasi yangu ilikuwa kama huyo mwenye sketi nyeusi...kwa hiyo hapa mchezo mzima upo mikanoni mwako... 
 Kwa hiyo hapa mzuiaji inabidi afanya kazi sana ila kwa hapa naona itakuwa kazi rahisi kwa vile ni mrefu...Netiboli ni mchezo mzuri, kwana kwa afya na pia kwa mazoezi ....na mwisho inabidi uwe mwepesi kukimbikia:-)  Ila mmmhhhh siku hizi  kukimbia ....

2 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Dada wa mi i Kadala anzisha timu...
nimekumissssssssss oohhhh

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki wangu za madikuuuuuu...nimekumiss pia...ni kweli inabidi tuwe na timu...kadala. Kachiki , dada mkuu msaidizi(Mija)...Ester, nisaidie wengine