Tuesday, November 8, 2016

KARIBUNI TUJUMUIKE KATIKA MLO HUU WA UHAKIKA

UGALI WA ULEZI, MBOGA MAJANI NA SAMAKI
Hii picha imenikmbusha mbali sana huu ulaji kwa kushirikiana/kuchangia sahani moja na sio kila mtu na sahani yake...Hivi kwa nini hii tamaduni inakufa?

4 comments:

NN Mhango said...

Da Yasinta umeua; hii nguna si kawaida na natamani ningekuwa mgeni wa kaya hiyo leo.

Yasinta Ngonyani said...

Ka Mhango; nilijua tu hiyo nguna roho itakuuma...:-)

NN Mhango said...

Ni kweli umeniumiza hata kama hukukusudia'

Yasinta Ngonyani said...

Na wewe kwa kupenda nguna/sima...aahhh njoo basi bado upo unawe kabisa na mikono.....