Wednesday, November 9, 2016

KUMBUKUMBU:- UNAVIKUMBUKA VITU/VIFAA HIVI?

Kwangu sio vigeni kabisa ndivyo vilivyonipa maarifa yote na pia bado namiliki mpaka hivyi nisemavyo...Nimewahi  kusikia minongòno ya kwamba, hasa mwanaume akimiliki vifaa kama hivi siku hizi basi ajua mke atakimbia.....Swali kwani ni vifaa au mume ndiyo tuwapendao au wanatusingizia tu..Wanawake wenzangu mpo nami?...Eti binti/mwanamke akikuta vifaa hivi kwa manaume, penzi linakufa muda  huo huo....KWELI?

4 comments:

Penina Simon said...

Duh! unanikumbusha miaka 47

Yasinta Ngonyani said...

Dada P, mwaka 47:-) mie mbona ninavitumia mpaka leo...kusema kweli hivi vitu ni muhimu kuwa navyo...

Rachel siwa Isaac said...

kwa mama Kachiki mpaka juzi nilipokuwa huko nilivikuata...
asante Kadala

Yasinta Ngonyani said...

Kachikiiii...nimekumisije ujue...nikunong'oneze kitu..kule kwetu kwa baba Kadala hivyo vitu bado tunavyo.