Thursday, October 20, 2016

ZILIPENDWA. ..UTAMU WA MAJI YA MTUNGI AUJUE NI KATA

Hakika leo  nimekumbuka mbali sana...ilikuwa kila baada ya siku mbili ni lazima kuchemsha maji na kuyachuja kwa kitambaa safi cheupe na kuyaweka mtungini kwa ajili ya kunywa. Nitaikumbuka milele domestiki hii niliyofundishwa na mpendwa MAMA yangu.. .SIKU NJEMA KWA APITAYE HAPA!

2 comments:

NN Mhango said...

Huo mtungi hauchezewi ndiyo kisima cha kaya ati.

Yasinta Ngonyani said...

Yaani haswa hapa ni mtungi tu!