Thursday, October 27, 2016

HILI NI CHAGUO LA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII IWE NI PICHA YA WIKI HIII...

Ebu angalia hii picha unafikiri utaweza tu kupita hapa bila kusimama na kununua  vitunguu au tu hata kuongea na watu....Binafsi nimependa sana mwonekano wa hii picha...MNAPENDWA WOTE NA KAPULYA:-)

2 comments:

NN Mhango said...

Mie nimeipenda ingawa imenisikitisha kugundua kuwa watu wetu wanawekeza kwenye kilimo na kukosa masoko wakati nje ya nchi mali kama hizo ni lulu. Juzi nilisikia kuwa nchini Senegal sasa wanakula vitunguu toka ulaya baada ya kuzalisha na kukosa soko na sehemu ya kutunzia vitunguu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango...ulichosema ni kweli kabisa. Kununua vitunguu kutoka ulaya sasa hii nini tena?? ama kweli inasikitisha sana