Wednesday, October 26, 2016

JE? UNAKUMBUKA KITABU HIKI CHENYE HADITHI YA JUMA NA ROZA?

 Tia maziwa
Tia sukari
Roza ana kiu 
kunywa chai Roza"
AU HII HADITHI YA MWANASESERE

Nimekikumbuka sana hiki kitabu wale wenye umri sawa nami watakuwa pia wanakumbuka ....hivi vitabu siku hizi havipi kabisa ...TUPO PAMOJA...

4 comments:

emu-three said...

Hahaha, mpendwa, kitabu hicho kinanikumbusha mbali, namkumbuka mwalimu wangu wa kwanza kuanza kunifundisha aeiou..hivi wewe unamkumbuka? Sijui yupo hai, mwalimu wangu huyo....mmh, dunia nii machweo na mateo, ukiamuka leo,ya jana yanabakia historia,..nashukuru sana ndugu wangu.

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu wa mimi emu...mimi mwalimu wangu wa kwanza alikuwa baba yangu...a..e...i o u...babu...mama...duh yaani tumetoka mbali sana ndiyo maana nimekumbuka sana hiki kitabu... ni kweli mambo mengi katika hii dunia yanabaki kuwa ni historia...

Penina Simon said...

Imenikumbusha mbali sana hii

Yasinta Ngonyani said...

Dada P, yaani wote tumekumbuka mbali mno...ya kale dhahabu