Sunday, October 23, 2016

JUMAPILI NJEMA NA UPENDO NA FURAHA ZITAWALE KATIKA MIOYO YENU

 Ulinzi wa Mungu uwe nasi/nawe siku zote. Amina.

3 comments:

Ester Ulaya said...

Msosi unavutiaa

NN Mhango said...

Huo mguu wa kuku au mbuzi? Kama ni ka junk dada punguza si salama mwilini mwako. Ila msomi mhh unashawishi.

Yasinta Ngonyani said...

Mdogo wangu Ester...unavutia na pia ni mtamu sana...

kaka Mhango...ni mguu wa kuku/Jogoo:-) Umeninifurahisha sana eti mguu wa mbuzi...msosi haushawishi tu ni bomba yaani utamu sana...