Tuesday, October 25, 2016

MAISHA NI KAMA KITABU...Maisha ni kama kitabu, kuna kurasa nyingine ni za kusikitisha, nyingine za kufurahisha na nyingine kusisimua. Lakini usipofungua hizo kurasa kamwe hutaweza kujua ni nini kipo kwenye hizo kurasa zifuatazo.
SIKU NJEMA

3 comments:

Bonaventure Mhagama said...

Kweli muda mwingine kabla huja fikia kurasa ya kufurahisha unakata tamaa ukiifikia kurasa ya kusikitisha

Bonaventure Mhagama said...

Kweli muda mwingine kabla huja fikia kurasa ya kufurahisha unakata tamaa ukiifikia kurasa ya kusikitisha

Yasinta Ngonyani said...

Nachukua fursa hii na kukukaribisha sana hapa kibarazani ndugu yangu Mhagama...nahisi kama vile wa kunyumba...Karibu sana ...na ahsante sana kwa mchango wako.