Saturday, July 23, 2016

UNAKUMBUKA ULIVYOKUWA UKIZUNGUMZA KATI YAKO NA BABU AU BIBI YAKO? EBU JIKUMBUSHE HAPA MAONGEZI KATI YA BABU NA MJUKUU WAKE.....

MJUKUU; Eti Babu mwisho wa dunia tutalia na kusaga meno ? 
BABU; Ndio mjukuu wangu. 
MJUKUU; Sasa mbona wewe huna meno ?

BABU; Kuna malaika ameajiriwa na Mungu kutugawia meno siku ya Mwisho
PAMOJA DAIMA!

2 comments:

Anonymous said...

Hahahahaha! Teteteth umenivunja mbavu dada yetu. Nimemchekaaaaa

Yasinta Ngonyani said...

Kucheka nako ni njia mojawapo ya kujiongezea maisha pia afya njema kwa hiyo nafurahi kama nimeweza kukufanya ucheke:-)