Friday, July 15, 2016

TUMALIZE WIKI HII KWA KUTEMBEA RUVUMA KWETU...KWA BURUDANI HII ..RUVUMA YETU NZURI


Wimbo una sema Ruvuma yetu ni nzuri karibu tule vyakula vyetu vya asili kama mlivyoona alivyoonyesha....Yaani leo nimeselebuka sana...Ruvuma yitu yabwina...Ruvuma yitu yabwina mwe jasho tu hapa....

4 comments:

Baraka Chibiriti said...

Safi sana Mama yangu, nimeipenda hii....na jinsi ninavyopenda utamaduni wetu wa Tanzania hapa umenifikisha kabisaaaa!!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Mwanangu hapa ni mwanzo tu. Hii inaonyesha ni kweli ww ni kwanangu maana utamaduni kwangu ndio kama sala ile kuu...Nchi yetu Tanzania ina utamaduni mwingi na mzuri sana yabidi tuutunze na kujivunia.

NN Mhango said...

Laiti wangesema Ruvuma yetu ya bwino kama siyo ya wina kwa ndugu zangu wa Msumbuji.

Yasinta Ngonyani said...

Haaaaah kaka Mhango bwana eti yabwino.....hiyo ingeendana na mulibwaji/mwalongeza bwanji...Nyimbo za asili ni tamu zaidi ya asali.