Friday, July 29, 2016

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MWISHO MWEMA WA JUMA...IJUMMA NJEMA

NI MATUMAINI YANGU UTAKUWA NA MWISHO MZURI WA JUMA HILI PIA MWEZI...TUPENDANE NA TUTAKIANE HALI PALE  TUPATAPO WASAA...SALAMU NI NUSU YA KUONANA.....KAPULYA WENU.

4 comments:

NN Mhango said...

Huyo jamaa kama Nkapa vile!

Yasinta Ngonyani said...

Hiiii jemeni kaka ww....Nkapa yupi?

NN Mhango said...

Nkapa raichi mstaafu Ben; kwani huoni warandanavyo?

Yasinta Ngonyani said...

Eeeeh kaka afadhali Nkapa ntaafu??? 😂😂😂😂😂