Wednesday, July 6, 2016

NAPENDA KUWATAKIENI SIKUKUU YA EID AL-FITR IWE NJEMA "EID MUBARAK"

Kwa muda kama mwezi sasa ndugu zetu Waislamu walikuwa katika mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani wakitimiza ibada ya nguzo za uislamu ambayo ni kufunga. KILA LA KHERI.

2 comments:

Anonymous said...

Eid Mubarak kwako pia na familia na ndugu na jamaa na marafiki wote wa "Maisha na Mafanikio". By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante...Ila kaka Salumu kumbe muchoyo hata kunikaribisha mwenzio!-:)