Tuesday, July 19, 2016

MSIONE KUSUASUA NIPO.....MNAJUA TENA MSIMU HUU NI LIKIZO KWA HIYO FAMILIA INABANA:-) ILA NIPO

Si mnaona hapa .....msifikiri nimekasirika ni uchovu tu ila muda si mrefu nitakuwa nimeondokana na uchovu. Nawatakieni wote mtakaopita hapa siku njema ....Kapulya wenu.

2 comments:

NN Mhango said...

Wala haujatununia. Kazi ndiyo maisha na isitoshe, umependeza kama kawa.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango!nashukuru kwa kuona kuwa sijanuna. Ahsante kwa kuupenda muonekano wangu. ...pamoja daima.