Monday, February 29, 2016

WIKI ILIYOPITA SIKU YA JUMANNE YA TAREHE 23/2 NILIFIKIWA NA MGENI DADA MERABY...

 Baada ya kupata chai/kahawa  kidogo tukawa tunaongea kuhusu makabila yetu kwa vile mimi nilikuwa nafanya utafiti wa neno MAMA kwa makabila yetu mbalimbali na kwa vile yeye ni MHAYA basi akanisaidia...:-) Ebu niona basi  kama umeandika ipasavyo....
 ...na hapa amechukua karatasi niliyoandika kuangalia kama nimeandika inavyotakiwa......
Hapa kwa pamoja dada Meraby na mimi Mama Maisha na Mafanikio kwa pamoja tunapia  orodha ya neno mama kwa makabila mbalimbali:-
Ilikuwa ni siku ya furaha sana katika Kaya yetu. Tuliongea mambo mengi sana hasa kuhusu vyakula na hasa ndizi/matoke....

2 comments:

Anonymous said...

Lakini mumependeza, ungepiga picha ingine umesimama........! haya MAWU nimesoma majina ni nzuri na imenifunza kitu kikubwa kujua na lugha za wengine. Ubnarikiwe.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina Ahsante ...Kusimama itakuwa siku nyingine sikutaka kumsimamisha mgeni jamani...Mgeni siku ya kwanza ujue....Nimefufurahi kama umejifunza lugha za wengine lakini je kwa lugha yako mnaitaje MAMA/MAWU?:-