Sunday, February 14, 2016

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SIKU HII YA WAPENDANAO KWANGU. ..KIJANA WETU ALIKUWA NA MECHI NA TIMU YAKE IMESHINDA

Hapo wapo katika mstari tayari kupokea dhahabu ya ushindi
Tayari  wamepokea...nilichelewa naona kijana wetu anatoka....

2 comments:

Anonymous said...

Hongera umekuza kijana kawa mbaba sasa! Wapi Camilla?

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina AHSANTE..Hyo ni nusu safari tu..:-) C yeye hachezi huo mchezo...