Tuesday, February 9, 2016

NIMEUPENDA UBUNIFU HUU TOFAA KUWA RAMANI YA DUNIA, MAUA KUWA NDEGE NA KANGA KUWA MWAMVULI.....EBU TAZAMA....

 Hapa ni tofaa limechongwa hadi kuwatufe la ramani ya dunia.
 Na maua nayo yamepangwa vizuri na kutoa picha ya ndege au sijui jogoo.  Hii nimeipenda kwa sababu ni ubunifu mzuri kwa kuanza ujasiriamali, maana hili ni pambo tosha kwa nyumba....
....Hapa sasa ni  ubunifu wa mwamvuli wa KANGA..ni ubunifu mzuri hasa kwa nchi za jua kali. Na kama kwa mvua  sijui itakuwaje.....KANGA ZINA MATUMIZI MENGI SANA NI UBUNIFU WETU TU.....

No comments: