Saturday, February 20, 2016

UKAGUZI WA SHAMBA 2014 - 2015 ...KAMA MCHEZO LEO TWALA NDIZI, MANANASI NA MATUNDA MENGINE

Kapulya/Mama Maisha na Mafanikio akipita katika moja ya shamba kwa ukaguzi 2014-2015..nyumbani Songea-Ruhuwiko. Hizo ni kazi za mikono yetu mwenyewe!
 Hapa nahisi anasema ...EEEhhh wewe acha tu hizi ndizi inabidi kuzitenganisha ili tupate mazao mazuri. NAWATAKIENI WOTE  MTAKAOPITA HAPA KILA LA KHERI NA KWARESMA  IWE TULIVU NA YENYE MAOMBI.

3 comments:

ray njau said...

Ni hakika na kweli,hapa ni maisha na mafanikio.Hongera sana mau.

Penina Simon said...

Linavutia hadi raha, Hongera jamani

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kaka Ray... hahaaaa eti mau!

Dada P. Ahsante sana ni kweli linavutia na matunda twala sasa..