Tuesday, February 2, 2016

TUPENDANE, TUSAIDIANE MAANA SISI SOTE NI NDUGU....


Watoto wengi  wanatamani kuishi maisha ya furaha na upendo ebu tazama wanavyoishi watoto hawa katika mazingira magumu tuishi kwa kufikiriana kusaidiana.  Ebu chukua dakika chache kusikiliza ujumbe wa wimbo huu wa  Ben Paul na halafu linganisha na picha hii ya hawa watoto. 


TULICHO NACHO TUGAWANE TUACHE UBAHILI SISI SOTE NI NDUGU NA BABA YETU NI MMOJA. UPENDO DAIMA!

2 comments:

Anonymous said...

Da Yasinta, inauma kwa kweli. Haya tusubirie serikali ya HAPA KAZI TUU! Labda italeta mapinduzi kama wanavyojiita. By Salumu

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu! yaani ww acha tu...inaumiza sana kiasi kwamba mtu unaamua kuacha kula kwa siku....