Thursday, February 18, 2016

BADO TUENDELEE NA WILAYA YA NYASA HAMU HAIJAISHIA ..BIO CAMP HII IPO KATIKA KIJIJI CHA NDEGERE KARIBUNI SANA...!

Mwenzenu bado nipo Nyasa kwangu...na hapa ni sehemu ya jengo la mapumziko katika ufukwe wa ziwa Nyasa kwenye  kijiji cha NDENGERE. Sehemu hiyo ni maarufu kwa jina la BIO CAMP.

2 comments:

NN Mhango said...

Nimependa hiki kiota. Lazima siku moja tutie timu na bi mkubwa tukienda Afrika.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango! Kwanza umenchekesha mno eti kiota:-) Halafu naomba nitanguzane nanyi mtakapoenda...Lol