Thursday, February 25, 2016

LEO TUANGALIA BAADHI YA MAKABILA NCHINI MWETU YASEMAVYO/ITAVYO MAMA...

UTAFITI WANGU KAPULYA:-
Nitaanza na Kabila langu nililozaliwa nalo:-)
1.   Kingoni - MAWU
2.   Kimanda - MAU/MAWU
3.   Kinyasa - AMAWO    
4.   Kibena  - YUVA
5.   Kihehe - YUVA
6.   Kikinga - UJUVA
7.   Kimpoto - AMAU
8.   Kinyamwezi - MAYU
9.   Kimatengo - AMABO
10. Kinyakyusa - JUUBA
11. Kigogo - YAYAA
12. Kikurya -BHABHA/MAYO
13. Kisukuma - MAAYO
14. Knyiramba - MAU
15. Kifipa - IMAMA/NYIMA
16. Kipare - MCHEKU
17. Kihaya - MAWE/MAE
18. Kisambaa - MNAA/MMAA
19. Kimburu - AYII
20. Kburange- YAYI
21. Kizigua - MAME
22. Kichagga - MAI/MAE
23. Kimasai - YEYO
24. Kipogoro - MAWU
25. Kijita -  MAI
26. Kingorema - YAYA
27. Kikisi - MAWHU/MABHU
HUU NI TAFITI  WANGU KAPULYA WENU, PIA MAKABILA MENGINE YALIKUWA KICHWANI MWANGU kama kuna yeyote anatambua zaidi  TAFADHALI usisite kuandika hapa ili tuweze kujifunza kwa pamoja...ntafurahi kama kutajitokeza kbila jingine...KAPULYA

6 comments:

ray njau said...

Jitihada zako zinathaminiwa sana.HONGERA SANA MAU!

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana kwa kunipa moyo na naamini ndio napata jitihada zaidi...Na chilawu mewawa mlongo wangu!

Anonymous said...

Dah Yasintaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Mawu Yasintaaaaaaaaaaaa au Mawu Cammila

Anonymous said...

Hongera sana Yasinta sasa malizia na makabila mengine ya Tanzania kisha uingie na makabila mengine ya Afrika Mashariki, kati na Afrika nzima.
J.Mgendi

Yasinta Ngonyani said...

usiye na jina wa 8:49 PM! naona umeniita kwa sauti kweli nipooooo......

Na usiye na jina wa 8:56! Nawe umeniita kwa sautiiii nipo/niviliii

Ndugu yangu J.Mgendi! Ahsante sana. Na pia nimeupokea ushauri wako kwa mikono miwili wewe subiri tu nitafanya hivyo. Ni kama vile umeyasoma mawazo yangu:-)