BAADA YA SIKU KADHAA ILIFIKIA HAPA NI KAMA MUONAVYO NI MATOFALI YA KUCHOMA
HAPA NYUMBA IPO TAYARI NA SASA KENCHI ZINAPANDISHWA....NA NI MWONEKANO KWA NYUMA,,
HAPA WAWEZA KUONA KENCHI ZIMEKWISHA PANDISHWA NA NI MWONEKANO KWA MBELE......HAPA TAYARI TUMEEZEKA ...KAMA NILIVYOSEMA NIMEANZA NA MABADA NA NI NUSU TU YA SAFARI........PICHA ZAIDI ZITAKUJA:-) KILA LA KHERI PAMOJA DAIMA. KAPULYA WENU.
9 comments:
Hongera sana kwa ujenzi dads...mbinga hiyoooooooooooooooooo
Ndio mana upo kimya kimya Fulani hivi. Je upo Tz au unajenga kwa remote dada? Ubarikiwe sana.
Safi sana. Ninavyoona picha hizi, ninawazia kuharakisha ustaafu wangu nikaishi sehemu hiyo. Je, uko Mbinga wakati huu?
Mabanda una maanisha nini? Nipe mojawapo mie nikaishi huko kwenye banda lako. Ila sijaelewa mabanda, nieleweshe? Nimezoea kusema mabanda ya kuku! Ila hayo sio naona ni nyumba, nisaidie nielewe.
Hongera da Yasinta. Imechukua muda gani kuanzia msingi mpaka kuezeka? By Salumu.
Ndugu zangu kama nilivyosema nitakuwa napoteapotea...Usiye na jina 5.48 ahsante sana kwa mchango wako. Unajua wakati mwingine unaweza kufanya kitu ikiwa upo katika sehamu ile kimawazo na akili na sio kimwili:-) najua umenielewa...
Prof. Mbele..nakuelewa jinsi unavyojisikia...Na jibu kwako pia ni kama nilivyompa aliyetangulia hapo juu ..
Usiye na jina wa 11.31 PM.. Mabanda sijajua ni sehemu zote Tanzania huwa wana mjengo huo wa nyumba ni kwamba watu huwa wana mazoea ya kujenga nyumba kubwa (self conterned) na pia kwa pembeni unaeza kujenga vyumba viwili- vitatu kuzunguka nyumba..natumaini umenielewa...
Kaka Salumu! Kwanza za siku? Pili Ahsante kwa pongezi ninajipigapiga hivyo hivyo..Na mwisho ni kwamba imechukua kama miezi miwili na nusu hivi...
Hongera,
Hakika wewe ni jembe
Ahsante dada najikokote....nichukue nafasi hii kukutakia kheri ya Krismasi!
hongera sana dada
Ahsante kaka Nicky!
Post a Comment