Thursday, December 10, 2015

IWE PICHA YA WIKI HIII....

Sasa hapo sijui atakulaje  huo ugali? Niwatakieni kila la kheri ..pamoja daima... Kapulya

3 comments:

Penina Simon said...

Huo ugali mbona ni cha mtoto,
akimaliza kupuliza hilo bangi alilo nalo mdomoni huo ugali unaondoka wote

Yasinta Ngonyani said...

Dada P..Yaani na utakuwa hautoshi huo!

Nicky Mwangoka said...

jamaa kauvulia shati ugali. Ni sheedah