Sunday, December 20, 2015

HII NI ZAWADI YANGU YA LEO NILIYOTUMIWA NA RAFIKI AJUAYE YA KWAMBA NAPENDA VITUMBUA

Napenda kusema AHSANTE kwa zawadi. Pia nawatakieni wote JUMAPILI HII YA MWISHO KABLA KRISMASI.....KAPULYA

4 comments:

Anonymous said...

Asante da Yasinta kututamanisha vitumbua. Nichukue fursa hii kuwapa heko kwa Maulidi ya Mtume Mohammed tarehe 24 Dec na pia Christmas tarehe 25 Dec. By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu Unajua kutamanishwa wakati mwingine kunaweza kukufanya ukitafute hicho kitu/chakula. Ahsante kwa heko nawe kila la kheri sana!

NN Mhango said...

Zamani nilipenda sana vitumbua. Baada ya kuona uchafu wa wauza na wapika vitumbua japo si wote, niliachana navyo na kuanza kuviponda badala ya kuvipenda. Nakutakia heri ya Mwaka mpya na Noel nono na vyenye furaha, siha, ufanisi na amani bila kusahau usalama.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango umenikumbusha kitu fulani ambacho rafiki yangu aliwahi kunisumulia kisa cha yeye kuacha kula ugali kwa mikono alipokuwa sekondari kama sikosei ni kwamba hakukata kucha zake na siku hiyo alikuwa kwa kazi za nje kama vile kulima ...baada ya hapo kukawa ni muda wa chakula naye kucha zake zilikuwa chafu hakauna maelezo ..tangu siku ile alipunguza kula ugali kwa mkono....mmmhhh kaka niache na nikutakie KHERI YA NOELI!!!