Monday, December 14, 2015

JUMATATU:- KITABU KIPYA CHA AFRICA REUNITE or PERISH KIMETOKA!


Kwa kuona sifa zake nyingine, tafadhali bonyeza kiunganishi hichi http://www.amazon.com/Africa-Reunite-Perish-Nkwazi-Mhango/dp/9956763241/ref=sr_1_2?s=books&ie=UTF8&qid=1449599076&sr=1-2&keywords=langaa
NAPENDA KUWATAKIA WOTE MWANZO MWEMA WA JUMA HILI..... Kapulya!!!

4 comments:

NN Mhango said...

Wow! Da Yasinta umekitundika kwenye uga wako! Asante kwa kuniunga mkono siku zote. Ubarikiwe sana dada yangu

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango...tupo pamoja na naamini hata wewe ungefanya hivyo. Ila sijui nitakisoma hicho kitabu:-)

NN Mhango said...

Dada nakushukuru tena hasa ikizingatiwa kuwa vitabu kwa wabongo wengi ni sawa na dawa chungu. Unaweza kukipata kinauzwa online ingawa ni bei kwani dola 45 si haba. Pamodzi always.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango ulibwaji!...Nimekuelewa ulichoelezea ...Haya Zikomo!