Tuesday, February 10, 2015

TUWE MAKINI TUTUMIAPO VINYWAJI MAANA KUNA WENGI WANAPENDA!!!

Hii inanikumbusha siku moja  tulikuwa na sherehe na katika shamrashamra  basi kaka mmoja akawa amechukua bia yake  na kunywa kumbe mende walikuwa wamemwahi. Na pia mwingine aliingingiliwa na nyuki akamuuma mdomoni na kuvimba vibaya mno. Kwa hiyo ndugu zangu tuwe makini. Tutaonana tena panapo majaliwa...Kapulya!!

4 comments:

Anonymous said...

Da Yasinta, hakuna tabu, hiyo ni mboga tuu na intumika sana sehemu za huko! By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu! fikiria hujajua kama yumo humu kwenye chupa? halafu baadaye unagundua......

mumyhery said...

Samaki Nchanga LoL!!!

Yasinta Ngonyani said...

Hahahaaaa dada M...nimechekaaaa!!! Samali nchanga eti.....