Monday, February 2, 2015

BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO INAPENDA KUMPONGEZA KAKA SAMWEL MBOGO "SAM" KWA KUFANYA GRADUATION

Ilikuwa ijumaa tarehe 30/1/2015, Ndugu kaka yetu Samwel Mbogo wengi tunamfahamu kwa jina la kaka S au Sam. Alifanya graduation yake katika kanisa CENTERBURY CRISTIAN CHURCH CATHEDRAL university (CCCU  huko London. Amepata Master degree ya phychotherapy. Ni Arts Therapy. NAMI NAPENDA KUTANGULIA KUMPA HONGERA SANA . 

3 comments:

emu-three said...

Hongera sana mkuu S na upo pamoja dada wangu

Mama Wane said...

hongera kaka MUNGU akubarikiktk maisha yako.

Yasinta Ngonyani said...

Nami ingawa nimempokeza kaka S hata hivyo nachukua nafasi hii na kumpongeza tena na kuwashukuru mliompongeza