Friday, February 20, 2015

KARIBU CHAKULA CHA MCHANA ILA MJE NA MBOGA!!!

Maana mie mwenzenu nakula bila mboga wangono wanasema ("ugali wa kisuma")  au umewahi kula ugali na maji yaliyowekwa chumvi tu...
BASI NIWATAKIENI SIKU NJEMA NA TUONANE TENA PANOAPO MAJALIWA!!

6 comments:

Ester Ulaya said...

hehehe nakuja na mrenda wa bamia

Yasinta Ngonyani said...

Ester ..umenitamanisha ila mimi nina tembele langu hapa:-)

NN Mhango said...

Whoa, hii noma kweli kweli. Huyu jamaa mzima kweli au manjonjo tu?

Yasinta Ngonyani said...

Ni kazi kwelikweli haswaaa..inawezekana mzima au ndo manjonjo...

Daniel Hhary said...

haahaaahahhaahahhahahahhahahahhahhahahahhaha
ni HATARI SANA ASEEEEEEEEEEEEEEEEE

Yasinta Ngonyani said...

Daniel! naona amekuchekesha kweli kweli:-)