Friday, February 6, 2015

IJUMAA YA LEO TURUDI TENA ZANZIBAR !!!

Nilimwuuliza aliyetuongoza (guide) kama ningeweza kutumbukia humo shimoni na kupigwa picha. Lakini alisema hairuhusiwi. Hakika ndugu zetu waliteswa sana halafu mbaya zaidi hawakuwa wanaume tu hata wanawake pia watoto. Niwachekeshe kitu  huyu guide weyu alikuwa na vichekesho mno akaniambia nami nilionekamna kama mmoja wao:-)  IJUMAA NJEMA! 

4 comments:

Dennis Moyo said...

Huyo mtembeza watalii (Tour Guide) hajakosea kwani waliosafirishwa utumwani ni kutoka mikoa karibu yote ya Tanzania ambako watu wake ni hodari kwa kazi ngumu wakiwemo Wangoni. Kama wewe ni Mngoni basi utafanana nao. Kwani hukujutambulisha kuwa wewe unatoka kabila la wachapakazi hodari?ngoni mwenzio mchapa kazi hodari toka Matogoro Kwa Chaburuma! Uko hapo?

Yasinta Ngonyani said...

Dennis...Umenichekesha kweli ya kwamba hakukosea huyo guide..Nene na mungoni puyuu tena wa kule Litumbandyosi. Karibu sana katika blog hii ya Maisha na Mafanikio pia vangoni.blogspot.com

mumyhery said...

Ni kweli ila hapo umekosa baibiu tu!!!

Yasinta Ngonyani said...

Dada M...za masiku kwanza....eti nimekodsa baibuo tu...mwenzio hsta sikuwaza hilo:-D