Thursday, February 26, 2015

MWONEKANO MPYA WA DADA MKUU AKA KAPULYA

Jinsi uzee unavyokaribia na ndivyo macho nayo yanazidi kufifia :-) SIKU NJEMA KWA WOTE.

6 comments:

Anonymous said...

umependeza rafiki wa mimi!

Yasinta Ngonyani said...

Rafiki wa mimi Ahsante alo...ila hapo ilikuwa ni kujaribu tu naonekana vipi kama nikivaa miwani.

MAISHA STORI said...

hujazeeka, unatumia punguza matumizi ya computer hadi dakika 90 kwa siku, na miwani zinazeesha, dada wa mimi, asante kwa mada zako

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Emmanuel....ahsante kwa ushauri.halafu huwa situmii miwani hapa niöikuwa najaribu tu ...karibu sana hapa kibarazani

mumyhery said...


Wewe ni mrembo sana

Yasinta Ngonyani said...

Dada M! Ahsante sana!