Monday, November 10, 2014

RUVUMA INAVUMA...HAPA NI RUHILA MBUGANI ...SONGEA

Nimeishi miaka mingi Songea nilikuwa sina habari kama kuna mbuga ya wanyama. Mbuga hii ipo nje kidogo ya Songea mjini Msamala . Kwa hiyo nasi tulipata bahati na kuingia hapa kwa msaada ya mwenyeji wetu ndugu Sunday Hebuka. Sijui hapo nafanya nini?2 comments:

Penina Simon said...

Ha ha ha hapa umefurahia utamu na hali ya hewa ya mbugani,
Ila hamna simba humo?? naona kama mnaelekea kwenye pori zito!!!!!!!!!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Dada P! nakuambia ni ni furaha ndani ya utamu...hamna simba dada..