Friday, November 7, 2014

IJUMAA NJEMA KWA WOTE NA WIMBO HUU!! PENDO

IJUMAA NJEMA NA TUDUMISHE UPENDO

3 comments:

Mama WANE. said...

Habari Dada wa mimi.huu wimbo ninaupenda ila nilikuwa sijui kaimba nani na video yake sikuwahi kuiona.Kumbe ni mzuri na unatufundisha SOMO zuri hasa kwetu kina dada.tusikubali kunyanyasika kirahisi kisa kupenda.Uwe na siku njema.

Baraka Chibiriti said...

Asante Dada yangu na Mama yangu mpendwa, nawe pia Ijumaa njema.

Pia Asante sana kwa muziki mzuri.

Yasinta Ngonyani said...

Mama wane ...ahsante kwa kupita na kuacha lako la moyoni..

Mwanangu na kakangu baraka ahsante sana ....