Sunday, November 9, 2014

LEO NI SIKU YA AKINA BABA HAPA SWEDEN/FARS DAG.... NAMI NACHUKUA NAFASI HII NA .....

 Hapa ni baba watoto ...nao wameniomba nimpongeze baba yao kwa siku hii ya leo.
Nami nkaona si mbaya kama nami nikichukua nafasi hii na kumpongeza  baba yangu mzee Ngonyani ni huyo mwenye shati la rangi ya waridi. Na pia nawapongea akina baba wote hapa duniani kwa siku hii kwani bila wao tusingekuwapo na maisha hayangekuwa kama kawaida. NA MWISHO NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA SANA:-)

2 comments:

NN Mhango said...

Da Yacinta, kila palipo na baba mwenye mafanikio jua nyumaye yuko mama. Nakupongeza nawe pia hasa kwa kuja na watu wawili katika maisha yako ambao ni uncle na shemeji. Umenitamanisha na huo mchupa wa ulabu wa nyumbani. Sijui hiyo ni safari au ndovu mie sijui.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango .......ahssnte hiyo ni safari ba ni mbamba bayvhapo.