Friday, November 14, 2014

TUMALIZE JUMA HILI NA WIMBO HUU UUTWAO WALEWALE NA CHAMELEONE!!!


NAMI NACHUKUA NAFASI HII NA KUSEMA MWISHO WA JUMA UWE  WA FURAHA NA AMANI PIA TUKUMBUKE KUSAIDIANA PALE INAPOTAKIWA. Haya tucheza pamoja basi:-)

3 comments:

Ester Ulaya said...

ASANTE SANA DADA..UJUMBE MZURI SANA

NN Mhango said...

Da Yasinta kusema ukweli nina bahati mbaya na nyimbo za wanaume wanaobomoa masikio. Anyway, huu ni udhaifu wangu.

Yasinta Ngonyani said...

Ester Ahsante kushukuru..
Kaka Mhango! Usijali kakangu: