Tuesday, November 18, 2014

HUU ULIKUWA MLO WANGU WA JUMAPILI JIONI...

...Ni viazi mviringo, Karoti ambavyo nipika kwa kuweka kwenye oveni kwa dakika 40, halafu ni kitimoto (amahani kwa wasiotumia) na hiyo nyeupe ni mchanganya wa mtindi na tangu lilokunwa na kitunguu saumu "Tzatziki" au twaweza sema ni saladi ya kigiriki. Na cha kutemshia ilikuwa Maji....

2 comments:

Ester Ulaya said...

dada utakuwa ulifaidi mnooo

Yasinta Ngonyani said...

Mama Alvin yaani kama ulikuwepo hadi kulamba sahani:-)