Friday, November 28, 2014

ZILIPENDWA....IJUMAA NJEMA!!

NAPENDA KUWATAKIA WOTE IJUMAA NJEMA PIA MWISHO WA JUMA UWE WENYE AMANI TELE!!

7 comments:

emu-three said...

Mhh, ama kweli siku zinakwenda, duuuh, unanikumbusha mbali kweli, hongera ndugu wangu.

Yasinta Ngonyani said...

Kweli ndugu wa mimi siku zinakimbia mno...shukrani kupita hapa na kuacha lako la moyoni-:)

Mama Wane said...

asante dada Yasinta ila sie huku Canada baridi na snow inatuumiza toka jana yaani ni balaa ila watoto wanafurahi sana.

Manka said...

Asante Dada Yasinta,nawe pia pamoja na familia yako.Mama Wane pole sana upo Canada sehem gani?mie pia naishi Canada.

Yasinta Ngonyani said...

Mama wane duh pole kwa baridi/snow hapa bado ingawa kuna baridi kidogo.

Manka! kumbe nawe unaishi Canada ...ahsante kwa kutochoka kupita hapa.

Manka said...

Ndio Dada yangu naishi Canada,Karibu sana

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante alo nawe karibu sana hapa kwetu pole sana bna baridi