Tuesday, November 20, 2012

HAPA SIJUI PAPOJE? NAONA HII IWE PICHA YA WIKI HII!!!

Sijawahi kuona watu wakifunga kuku kamba..hapa naona dogo amesha chagua kitoweo cha sijui mchana au jioni?  au labda ndo kapata kitu cha kuchezea? MUWE SALAMA WOTE !!!

5 comments:

ray njau said...

Dogo kapata marafiki wema!

Yasinta Ngonyani said...

Au labda hapo anasema mama mimi natalka kula kuku leo na nimechagua huyu maana amenona kweli.

ray njau said...

Sijui sana anataka kusema nini maana naona hao kuku wala hawamshangai!

Justine Magotti said...

kweli imetulia sana

EDINA J KIBOMA said...

mwenzenu nimekapenda hako katoto...kana afya halafu kanaonekana katundu.