Friday, November 9, 2012

UJUMBE WA IJUMAA YA LEO NI:-.......

Riziki ni mdudu popote hutua!
MUWE NA IJUMAA NJEMA NA MWISHO WA JUMA MWEMA....KAPULYA!!!

3 comments:

Ester Ulaya said...

asante kwa ujumbe mtamu dada...ijumaa njema pia

Yasinta Ngonyani said...

Da´mdogo Ester! Ahsante kwa kuupenda ujumbe...uwe salama:-)

ray njau said...

Riziki ya mbuzi kwa urefu wa kamba yake na mbwa katika miguu yake.