Wednesday, November 28, 2012

NIMEIPENDA SKETI HII/ MREMBO WA LEO!!!


 
Sketi hii nimeipenda sana ni ndefu na ya heshima ...hii ni mimi!!!!:-)
 

5 comments:

Ester Ulaya said...

tena ya ki africa, kweli ni mrembo wa wiki

Yasinta Ngonyani said...

Yaani nakuambia Ester! na ndio maana nimeipenda ..KITENGE

mumyhery said...

Yaani mimi nimeipenda mno!!!

Yasinta Ngonyani said...

Dada M..Duh ulikuwa wapi yaani nimekumiss kweli..Nilijua tu nawe utaipenda hii

mumyhery said...

We acha tu niilikuwa npigika si unajua mambo ya mchaka mchaka?