Monday, August 4, 2008

Agosti 4, 2008 SAMER/WAMASAI



Hapa nataka kusema sio wamasai tu wanaishi kwenye nyumba kama hizi manyata kwani hata hapa Sweden kuna watu aina ya wamasai wanaitwa Samer wao ni maalufu sana kwa kufuga (rendeer) kulungu kwani wao wanaishi sehemu ya baridi sanaaaa. Na wamasai wetu wote tunajua maalufu kwa ufugaji wa ngómbe.

2 comments:

Unknown said...

Itabidi niwatembelee hao jamaa wa Samer kwani nataka kupata ujuzi wa kujenga nyumba kama hizo nahisi baridi ya Njombe na Makambako nitapambana nayo vizuri.

Yasinta Ngonyani said...

karibu sana kaka Mbilinyi nadhani utaimudu tu baridi.